Archive for September, 2008

Maharamia wa Kisomali wafyatuliana risasi.

Tuesday, September 30th, 2008

Kumekua na ufyatulianaji wa risasi kati ya maharamia wa kisomali kwenye meli iliyotekwa nyara ikiwa na silaha. Afisa wa muungano wa wasafiri wa maji eneo la Afrika mashariki Andrew Mwangura amesema kuwa wanaume watatu walipigwa risasi kufuatia kutofautiana kuhusu mbinu ya oparesheni yao. Maharamia waliiandama meli ya Ukraine wiki iliopita na wameitisha dola milioni ishirini [...]

Semina ya chama cha wazazi yaingia siku yake ya pili

Tuesday, September 30th, 2008

Semina ya chama cha wazazi inayofanyika mjini Eldoret yenye kauli mbiu “JINSI YA KUKABILIANA NA MAJANGA” iliingia siku yake ya pili hii leo kwa kurekodi idadi kubwa ya washiriki.Akiongea na waandishi wa habari wakati wa mkutano huo, katibu mkuu wa chama cha wazazi nchini Musau Ndunda aliisifu serikali kwa jitihada zake za kukabiliana na wale [...]

Local KNAP seminar enters its second day in Eldoret

Tuesday, September 30th, 2008

Kenya National Association of Parents today continued with its seminar on safety under the theme “Disaster Prevention” being held in Eldoret. Speaking to reporters KNAP secretary general Musau Ndunda, said the government did well to expose people behind exam leakages terming it a move in the right direction. The secretary general said the stand of [...]

Agriculture minister calls for a new constitution

Tuesday, September 30th, 2008

Agriculture minister William Ruto is stressing the need to have a new constitution that will allow leaders to get elected on merit rather than on tribal basis. Ruto said the post election skirmishes that rocked many parts of the country were as a result of the flawed constitution that denies Kenyans equal access to the [...]

Eldoret south Member of Parliament reacts on the IDPs

Tuesday, September 30th, 2008

Following yesterday’s protests by the Internallly Displaced persons living in the Yamumbi camp Eldoret south Member of Parliament Peris Simam has now raised her voice. Simam says the government should come up with a way in which to identify genuine IDPs who deserve compensation. She said many of those who call themselves IDPs are opportunists [...]

Eldoret municipal council set to place dust bins along the Eldoret streets.

Monday, September 29th, 2008

Eldoret municipal council is set to place dust bins along the streets of Eldoret town starting from today. Eldoret mayor Samuel Ruto says the council has also identified smoking zones, with one being a place near Sosiani River. Meanwhile Mayor Ruto has denied claims by a section of media that the move by the council [...]

Shughuli ya fidia mlima Elgon yakumbwa na madai ya ufisadi

Monday, September 29th, 2008

Mkuu wa wilaya ya Mlima Elgon Mohammed Biriki amesema kuwa fedha zilizotengewa wakimbizi wa ndani kwa ndani katika eneo hilo litatumiwa vikamilifu kwa suala hilo pekee. Biriki ametoa matamshi hayo ili kuondoa hofu kuwa shilingi milioni arubaini iliyotolewa kwa minajili ya kazi hiyo huenda isiwafikie wahathiriwa hao. Hata hivyo amedokeza kuwa jamii ambazo mali zao [...]

Baraza la mji wa Eldoret yapanga kuweka mapipa ya taka kwenye mabarabara ya mji.

Monday, September 29th, 2008

Baraza la manispaa ya mji wa Eldoret linapanga kuweka mapipa ya kutupa taka kwenye barabara za mji huo. Meya wa mji wa Eldoret Samuel Ruto alisema baraza hilo pia limetenga sehemu tofauti za kuvutia sigara mojawao ikiwa sehemu iliyoko karibu na mto wa Sosiani. Wakati uo huo Meya Ruto alikanusha madai yaliyotolewa na baadhi ya [...]

Meli ya Marekani yazingira maharamia

Monday, September 29th, 2008

Meli ya kivita ya Marekani imefanya mawasiliano na meli ya Ukraine iliyokamatwa na maharamia wa kisomali wiki iliyopita ambayo ilitia nanga karibu na bandari ya Dobyo. ishara zaonyesha kuwa meli hiyo ya Marekani ya USS Howard inaikaribia meli ya MV Faina iliyobeba vifaru vya kivita 33 aina ya T-72. Meli hiyo ya MV Faina ilikuwa [...]

Mt. Elgon compensation faced with corruption claims.

Monday, September 29th, 2008

Mount Elgon District Commissioner Mohammed Birik says that money set aside for compensation of internally displaced Persons will be used entirely for that purpose. The administrator sought to dispel fears that the 40 million shillings disbursed for that purpose would not reach the families. He however says that only families whose property was destroyed by [...]