Archive for October, 2008

Sasa Kalonzo auipinga ripoti ya Waki

Thursday, October 30th, 2008

Makamu wa rais Kalonzo Musyoka sasa ameungana na viongozi wanaoupinga ripoti ya Waki.Kalonzo amesema kuwa mapendekezo ya ripoti hiyo kuhusu ghasia za baada ya uchaguzi ambayo imezua hisia mbali mbali kutoka kwa viongozi haina ushahidi wa kutosha ya kumuhukumu yeyyote mahakamani.Makamu wa rais amedokeza kuwa baraza la mawaziri litaafikiana kuhusu njia mwafaka utakaomaliza uhasama huo [...]

Kalonzo rejects the Waki report

Thursday, October 30th, 2008

Vice president kalonzo Musyoka has joined the group of leaders that oppose the Waki report. Kalonzo says the controversial report by the Waki commission of inquiry into post election violence lacks sufficient evidence to sustain a case against anyone. The vice president stated that the cabinet will find a suitable solution to the debate without [...]

Kiama cha wezi EPA chawadia

Thursday, October 30th, 2008

Rais wa Tanzania Jakaya Kikwete anatarajiwa kutangaza kiama cha wezi waliovuja pesa katika Akaunti ya Malipo ya Nje-EPA, baada ya kazi ya tume teule ya kuchunguza kashfa hiyo kufikia kikomo.Tume hiyo iliyokuwa ikiongozwa na Mwanasheria Mkuu wa Serikali  ya Tanzania, Johnson Mwanyika, Mkuu wa Jeshi la Polisi Said Mwema na Mkurugenzi wa Taasisi ya Kuzuia [...]

Jeshi la Kenya na lile la Marekani washirikiana kujenga shule katika mkoa wa bonde la ufa

Thursday, October 30th, 2008

Jeshi la Kenya likishirikiana na jeshi la Marekani linajenga shule zilizoharibiwa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi katika mkoa wa bonde la ufa.Shughuli hizo za ujenzi zimekuwa zikiendelea katika maeneo kadhaa katika mkoa huo chini ya mpango wa “Oparesheni Jenga Mashule”.Majeshi hao wanafanya ukarabati wa shule 19 katika mkoa wa bonde la ufa. Katika [...]

Vijana wapewa changamoto kuendelea na masomo iwapo wanaazimia kujiunga na jeshi

Thursday, October 30th, 2008

Vijana wanaoazimia kujiunga na jeshi la Kenya hawana budi ila kufanya bidii shuleni ili kusajiliwa katika jeshi.Akizungumza katika eneo la Burnt Forest mjini Eldoret, Meja Chris Orina kutoka kitengo cha jeshi cha 12 engineers alisema kuwa jeshi halifai kutazamiwa kama kitengo cha kuwasukuma vijana ambao hawakufaulu mitihani yao ya kitaifa.Meja Orina alidokeza kuwa vijana ni [...]

Serikali yajizatiti kupunguza bei ya mafuta nchini

Thursday, October 30th, 2008

Wakenya huenda wakawa na habari njema katika muda wa siku chache zijazo kuhusiana na kiasi cha pesa watakazotumia kununua mafuta. Hayo huenda yakajiri baada ya serikali kutangaza kuwa itachapisha bei ambazo kampuni za mafuta zitalazimika kuzingatia. Waziri wa kawi Kiraitu Murungi ameliamurisha shirika la mafuta nchini kuagiza kutoka nje asilimia thelathini ya mafuta yote yanayotumika [...]

ODM kutoa msimao kuhusu ripoti ya Waki

Thursday, October 30th, 2008

Wabunge kutoka chama cha ODM wanakutana hii leo huku agenda kuhusu mjadala wa ripoti ya Waki ukitarajiwa kupewa kipaumbele katika mkutano huo. Wabunge wa chama hicho wanataka kufanyika kwa mjadala ili kuwawezesha kutoa msimamo wa pamoja kama chama kuhusiana na swala hilo ambalo limezua hisia tofauti katika chama hicho. Waziri mkuu Raila Odinga na naibu [...]

Siku ya amani kwa shule yafanyika mjini Eldoret

Thursday, October 30th, 2008

Wanafunzi kutoka mji wa Eldoret hii leo walifanya matembezi ya amani katika barabara za mji huo katika harakati ya kuhubiri amani baina yao na jamii kwa jumla.Kwa mujibu wa mshirikishi wa shughuli hiyo kutoka kanisa katoliki dayosisi ya Eldoret chini ya idara ya elimu mtawa Cecilia Muthoni, kanisa katoliki liliona vyema kuandaa hafla yenye mada [...]

Washukiwa wa uteketezaji wa kanisa Kiambaa wafikishwa katika eneo la mkasa

Thursday, October 30th, 2008

Watu wanne ambao wanashukiwa kuwauwa watu katika kanisa la KAG Kiambaa wakati wa ghasia za baada ya uchaguzi hii leo walifikishwa katika eneo la tukio hilo ambapo mahakama kuu ilizuru.Mamia ya watu walifika katika eneo hilo ambapo jaji David Maraga wa mahakama kuu ya Nakuru alisikiza ushahidi kutoka kwa mshahidi mmoja supritenant wa polisi Jonathan [...]

Peace day for schools in Eldoret

Thursday, October 30th, 2008

Students in Eldoret today took a peace walk to the streets of Eldoret as a way of preaching peace amongst them and the community at large. According to the event coordinator sister Cecilia Muthoni of the Catholic diocese of Eldoret education department, the church saw it fit to organize a programme dubbed “Join hearts to [...]