Fish united kukabiliana na Kimumu FC wikendi
Friday, November 28th, 2008Klabu ya Fish United itachuana wikendi hii na Kimumu FC kwenye mechi za robo fainali katika kinyang’anyiro cha amani kinachoandaliwa na shiroka la ASTEP.Akizungumza na meza yetu ya michezo, kocha Lukas Lusigi alisema kuwa klabu hiyo ya Fish United ina imani kuwa itaibuka na ushindi katika mechi hiyo.
Lusigi amesema kuwa klabu hiyo imetia makali na [...]