Baraza la mji wa Eldoret kushirikiana na Morocco

Baraza la manispaa ya mji wa Eldoret una mpango wa kuwa na ushirikiano wa muda mrefu na baraza la mji wa Rabat nchini Morocco. Meya wa mji wa Eldoret Sammy Rutoh amesema kuwa meya wa baraza hilo la Rabat Baron Omar ameahidi kufanya kazi kwa ushirikiano na manispaa ya mji wa Eldoret kwa kuiuza mji wa Eldoret kwa wawekezaji kutoka nchi ya Morocco.Meya Rutoh aliyasema hayo alipohutubia waandishi wa habari baada ya kuwasili kutoka katika awamu ya tano ya kongamano ya mabaraza ya miji barani Africa iliyofanyika Rabat Morocco.

Leave a Reply

XHTML: You can use these tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

:mrgreen: :neutral: :twisted: :shock: :smile: :???: :cool: :evil: :grin: :oops: :razz: :roll: :wink: :cry: :eek: :lol: :mad: :sad:

Isulong SEOph