Fish united kukabiliana na Kimumu FC wikendi

Klabu ya Fish United itachuana wikendi hii na Kimumu FC kwenye mechi za robo fainali katika kinyang’anyiro cha amani kinachoandaliwa na shiroka la ASTEP.Akizungumza na meza yetu ya michezo, kocha Lukas Lusigi alisema kuwa klabu hiyo ya Fish United ina imani kuwa itaibuka na ushindi katika mechi hiyo.

Lusigi amesema kuwa klabu hiyo imetia makali na kuwa wachezaji wako katika hali nzuri na wanatarajia kutifua kivumbi.

Mechi hiyo itang’oa nanga mwendo wa saa tisa unusu alasiri hapo kesho katika uwanjwa wa Kimumu wa Junction Grounds karibu na Chepkoilel.

Leave a Reply

XHTML: You can use these tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

:mrgreen: :neutral: :twisted: :shock: :smile: :???: :cool: :evil: :grin: :oops: :razz: :roll: :wink: :cry: :eek: :lol: :mad: :sad:

Isulong SEOph