Kibaki aelekea Qatar kwa ziara rasmi ya siku tatu

Rais Mwai Kibaki hii leo ataanza rasmi ziara ya siku tatu nchini Qatar. Rais pamoja na wajumbe watakaoandamana naye wanatarajiwa kuhudhuria kongamano la kimataifa kuhusu ufadhili na maendeleo. Rais Kibaki atakuwa miongoni mwa viongozi watakaokuwa wakijadili hali ya kusambaratika kwa uchumi dunianai. Inakisiwa kuwa hali hiyo ya kudorora kwa uchumi kwa sasa imeathiri mataifa mengi ulimwenguni

Leave a Reply

XHTML: You can use these tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

:mrgreen: :neutral: :twisted: :shock: :smile: :???: :cool: :evil: :grin: :oops: :razz: :roll: :wink: :cry: :eek: :lol: :mad: :sad:

Isulong SEOph