Mkutano wa Geneva wafikiwa kikomo chake hii leo
Tuesday, March 31st, 2009Mkutano ulioitishwa na mpatanishi mkuu wa ghasia za baada ya uchaguzi mkuu humu nchini Dakta Koffi Annan jijini Geneva ulifikia kikomo chake hii leo.Akitoa hotuba yake ya mwisho wakati wa kufunga rasmi mkutano huo hii leo, Annan alisema kuwa mkutano huo ulikuwa na kusudi la kupata mafunzo yatakayotumika kusuluhisha mizozo sawia na hiyo itakapotokea katika [...]