Fabregas akiri kufanya mazungumzo na aliyekuwa rais wa klabu ya madrid

Nahodha wa klabu ya Arsenal Cesc Fabregas amekiri kufanya mazungumzo na aliyekuwa rais wa klabu ya Real madrid Ramon Calderon kwa simu.Calderon ambaye anapendezwa sana na kiwango cha usakataji soka wa Fabregas, kwa upande wake alisema alikuwa anamjulia hali mwanandinga huyo mzawa wa Uhispania jambo ambalo limewatia tumbo joto maafisa wakuu wa klabu hiyo.Fabregas mwenye umri wa miaka 21 anaenziwa sana na mibabe hao wa Uhispania lakini yuko na mkataba wa miaka mitano mingine na the gunners.Mazungumzo hayo ya  Calderon na Fabregas yanajiri wakati msimu wa uhamisho wa wachezaji ukibisha hodi.

Mwisho Jimmy Kitiro

Leave a Reply

XHTML: You can use these tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

:mrgreen: :neutral: :twisted: :shock: :smile: :???: :cool: :evil: :grin: :oops: :razz: :roll: :wink: :cry: :eek: :lol: :mad: :sad:

Isulong SEOph