Maafisa wa usalama wa Uganda wamewatia nguvuni wakenya tisa katika kisiwa hicho cha migingo kwa madai ya kutekeleza shughuli zao za uvuvi katika maeneo yao.Hali ya taharuki imetanda katika kisiwa hicho ambacho kinazozaniwa na taifa la Kenya na Uganda huku kila mmoja akidai umiliki wa kisiwa hicho.Akidhibitisha kisa hicho, msemaji wa polisi Eric Kiraithe alisema kuwa hatua mwafwaka itachukuliwa ili kusuluhisha tatizo hilo ambalo la umiliki wa kisiwa hicho cha Migingo.Haya yanajiri mwezi mmoja tu baada ya Kenya na Uganda kufanya mkutano wa kusuluhisha mzozo huo wa umiliki.
This entry was posted
on Tuesday, April 7th, 2009 at 10:48 am and is filed under Fahamu Ya Fish.
You can follow any responses to this entry through the RSS 2.0 feed.
You can skip to the end and leave a response. Pinging is currently not allowed.