Maafisa wa polisi wanasa misokoto ya bangi.

Watu wawili wanawasaidia polisi kufanya uchunguzi baada ya kunaswa na misokoto alfu 12 ya bangi. Maafisa wa Polisi walinasa bangi hiyo katika barabara kuu ya Mombasa kuelekea Nairobi na inaaminika bangi hiyo ilikuwa ikisafirishwa kuelekea nchi jirani ya Tanzania kupitia Mombasa.

Bangi hiyo iliyokuwa ikisafirishwa kwa magari ya kibinafsi zilinaswa mahali tofauti tofauti. Misokoto alfu 10 ya Bangi ilinaswa kwanza kisha misokoto mingine alfu mbili ikanaswa baadae.Haya yanajiri siku chache tu baada ya mkenya na mtanzania kunaswa wakisafirisha pembe za ndovu mpakani kinyume cha sheria.

Leave a Reply

XHTML: You can use these tags: <a href="" title=""> <abbr title=""> <acronym title=""> <b> <blockquote cite=""> <cite> <code> <del datetime=""> <em> <i> <q cite=""> <strike> <strong>

:mrgreen: :neutral: :twisted: :shock: :smile: :???: :cool: :evil: :grin: :oops: :razz: :roll: :wink: :cry: :eek: :lol: :mad: :sad:

Isulong SEOph