Kibaki asema shuhuli ya kuundwa kwa katiba mpya mwananchi atashirikishwa kikamilifu
Tuesday, April 7th, 2009Rais Mwai Kibaki amerejea nchini baada ya ziara rasmi ya siku tatu nchini Zambia.Rais Kibaki alilakiwa katika uwanja wa kimataifa wa Jomo Kenyatta na makamu wake Kalonzo Musyoka, naibu waziri mkuu Uhuru Kenyatta miongoni mwa viongozi wengine wa ngazi za juu serikalini.Akiwahutubia wakenya nchini Zambia, Rais Mwai Kibaki aliwahakikishia wakenya hao kuwa wananchi wote watashirikishwa [...]